@YasTanzania_ Zimerejea... kivp akat hela zetu bado mnazo tu mpka Leo miamala haijakamilika ... mmekata hela kwenye account bila taarifa af sasa hv mnasema huduma zmerejea... rudisheni miamala ya watu wazee... na fidia ya Gbz za kutosha kwa huu uduanz mlioufanya