Wakati Watu Wengine Wakipambana Kwa Hali Na Mali Kuoa Wanawake Wenye Bikira Zao, Kuna Jamaa Mahali Anamshawishi Mke Wa Mtu Amuache Mumewe Ili Amuoe.
Technically, Tuiteje.!? 😎🤔😂
Kama ningekuwa naelewa mambo kama ninavyoyaelewa sasahivi huenda nisingefanya makosa niliyofanya hapo awali, lakini kama nisingefanya yale makosa sidhani kama ningeelewa mambo kama ninavyoyaelewa sasahivi.
South Sudanese kids surrounded Hamza Abdelkarim and Omar Marmoush after their country’s 5-0 loss to Egypt. Football is for everyone ❤️🇸🇸🇪🇬
(📸 @EgyptNT)
@master_plan6 Master mimi lazima niamke saa nane Tisa hivi usiku ninywe glass mbili za maji.
Na asubhi mengi ya kutosha ,Huwa naacha kunywa baada ya tumbo kuhisi limejaa maji ila matamu.
Sina uhakika lakini % Kubwa ya watu humu hatujafika umri wa miaka 60, sasa kwanini tusipendane, tusaidiane, tuheshimiane, tusitiriane kuliko kuharibiana? Nini shida na Hiki kizazi chetu? Nadhani tungebadirika kidogo
That Moment Unaamua Ku fall In love Na Mtu Mwenye Mtoto Ambae Sio Wako Na Mnaamua Kuona Kabisa Kwa Sababu Ya Upendo
Uaamua Kumlea Kama Wako Na Unampa Mahitaji The Time Amekua Anakuja Ku Realize Kua Wewe Sio Mzazi Wake Halisi.
Anaanza kukudharau Inauma Na Kuvunja Moyo Sana.
Today, I leave Tanzania with a heart full of gratitude and a purpose bigger than the journey itself.
I’m heading to Russia not only as a young Tanzanian, but as a representative of a nation rich in culture, potential, talent and dreams...!! See you 🔜 Ekaterinburg 🇷🇺🇹🇿
Ushauri kwa Wanaoanza kutrade Forex, usianze kwa kujifunza Ku Hold trades. Jifunze kuscalp kwanza.
Kuscalp kutakupa Matokeo mapema, kutakupunguzia Njaa. Kutakupa pesa za kubadilisha mboga na Kukuza Mtaji. Jipe muda (a year or two years) then utaanza ku Hold trades.
Changamoto kubwa tuliyonayo sasahivi, wengi wanaanza kujifunza ku Hold trades, hii inawafanya iwachukue. Miaka mingi kuanza kuona Matokeo.
Kama trading haijaanza kukulisha, kwanini unahold? Scalp, pata pesa, Withdraw. Soko litakapokuwa limekulipa vizuri, umejipa muda wa kutosha unaweza kuanza ku Hold. Usihold trades na ndani huna unga. MIYEYUSHO!
Nimefanya vyote, nime master scalping na Holding vile vile. So nahold na nascalp lakini katika maamuzi bora ambayo nimewahi kuyafanya kwenye maisha yangu ni kuwa scalper bora kabla ya kuanza kuhold. Kuscalp kumeniondoa kwenye umasikini unaonuka lakini ku hold kumenipa Pesa nyingi sana.
Kuna vitu viwili, 1. Kuondoka kwenye umasikini 2. Kunipa pesa Nyingi.
Huwezi kupata Pesa nyingi kama wewe ni Masikini. Jivue kwanza Gamba la Umasikini, ndipo pesa zitakuja.
Huwezi kuhold ikiwa una njaa na una Madeni.
Develop scalping skills kwanza, then adapt psychology ya ku Hold trades after sometime. Tafuta hela sokoni, usitafute sifa.
Nimekuwa nikitrade Gold kwa kipindi chote tangu niijue Forex, nilianza kukusanya Pips 50-70 kwa ku scalp baadae nikascalp pips 100 nikahama mpaka pips 150 na sahii nahold mpaka pips 5000. This is a gradual process ya Makuzi. Nimejipa muda wa kukua na ku adapt.
Focus yako ya kwanza iwe ku acquire skills
Focus yako yapili iwe ni kutengeneza pesa za kusapoti life lako na Kwa kuscalp
Focus yako yatatu iwe ni kutengeneza Pesa ya kuwekeza (Holding) after kujipa muda wa kutosha...
#Proffessor
Always book your flight tickets on a Tuesday at 3 AM in Incognito mode—airlines reset their algorithms overnight and drop unsold seats for 40% cheaper. ✈️💸 I just read that somewhere