A young girl take uncleaned and unsafe water for use. As we know use of ucleaned water is the result of water-borne disease. Let as together change and support a poor community to have a safe and clean water for better life.
EAT, bodi ya bonde ziwa Tanganyika pamoja kuwasa. Mkurugenzi wa bodi ya bonde ziwa Tanganyika mh. Tamimu saidi akitoa maelekezo tulipotembelea eneo maalumu la umwagaji maji taka kahama. @maji_mowi@vpo_tanzania
EAT ilifanya ziara ya kutembelea bwawa la nyihogo pamoja na viongozi wa kiserikali kukagua hali na usalama wa eneo hilo. Ambalo linazungukwa na makazi ya wananchi. Lengo ni kuendeleza utunzaji wa mazingira katika eneo hilo.
bado changamoto ya uharibifu wa mazingira ni kubwa sana, elimu bado inahitajika kwa wafugaji mijini pamoja na elimu kwa jamii juu ya utupaji wa taka ovyo. hapa ni nyasubi-kahama #ClimateActionNow#ClimateJustice@Connect4Climate@Y4Nature @zirowaster @UNEP