Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote
Ila Angalizo kwetu CHADEMA tuwaache wachapane tu sisi tutasaidia wakitaka nyaraka Kwakuwa za huyo mzanzibari ninazo
@mgwisha246159@MariaSTsehai Tutapitishwa tena na tena kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti kabla ya kuufikia Ukombozi kamili....Tusiogope tusimame Imara. .Sihitaji kuwa na Cheti au Cheo ili kusimama upande wa Haki. ALUTA CONTINUA.
JESUIT Brothers hawajawahi kushindwa kwenye vita. Hakuna Mamlaka duniani iliyowahi kushindana na Jesuit Brothers ikabaki salama. It is a complex VATICAN machine. Naomba mtunzee hii tweet. Sumai, mamluki toka Zanzibar NA Kenge wote waliokutuma, keep this tweet.
Haya mambo ndio yanaleta CHUKI.
Chawa wamesafirishwa kama VIPETO kwenda kusifia wakoloni weusi.
Mashabiki wa senegal walikuwa bize kushangilia wachezaji wao-hii mizoga inasifia wakina BASHITE utafikiri ndio wanacheza
MUNGU FUNDI SANA.
Dada @mangekimambi ameuliza swali muhimu kuhusu impeachment ya Makamu wa Rais!
Ibara ya 50 (3) inaeleza utaratibu
Utaratibu ni ule kama wa Rais isipokuwa kuna masharti ya ziada:
(a) Rais amewasilisha hati kwa Spika
inayoeleza kwamba Makamu wa Rais ameacha au ameshindwa kutekeleza
kazi za Makamu wa Rais;
(b) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili
ya Viongozi wa Umma;
(c) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka
maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika
ibara ya 20(2) ya Katiba;
(d) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano au kiti cha Makamu wa Rais, na haitatolewa hoja ya namna hiyo ndani ya miezi kumi na miwili tangu hoja ilipotolewa na ikakataliwa na Bunge.
Kwa kifupi mchakato ni uleule (ibara ya 46A) kwa wote wawili na waondoke wote mtu na makamu wake 🤣
Mi nasema wabunge haramu wote na nyie ondokeniii tuanze Upyaaa! #SamiaMustGo #CCMmustgo
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa..
Ushirika wa kidhalimu huwa haudumu, hakuna mwenye unafuu miongoni mwenu…
Wote mmekalia viti vya damu na vyeo vya uongo…
Damu ya Watanzania itaendelea kuwanenea kila baya nyie na familia zenu.
Ni muhimu mmeanza kumalizana, kama boss anaweza kutuma mtu kuita msaidizi wake majina (YUDA)
Watanzania tutashinda vita hii, hakuna mwenye nafuu ccm wote ni walewale.
Nyie wazanzibari akina Simai tulieni! Huyu kimama mwaka 2019 alisema wazi hawezi kuachia kiti cha namba mbili kwenda kuwa rais Zanzibar! Na Magufuli hakumtoa sababu alimgomea na angemfukuza angefungua pandora box na ye atimuliwe
Sasa ni hivi Nchimbi mkimpigia kura ya kutokuwa na imani bungeni mnatusaidia kama Taifa maana tutataka waondoke WOTE na Samia😁✊🏽
Wamepigiwa kura wote wawili kwa pamoja! Waondoke wote kisha na nyie ondokeni hapo bungeni! Na we Simai utakuwa wa mwisho hakikisha unazima taa zote 🤣
Makatili wauaji wakubwa
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Nilipewa nafasi ya kushiriki kwenye mfumo wa ufisadi, nikakataa. Naogopa hukumu ya historia na laana za Watanzania. Heri yako mwenye hofu,
ila kuna mambo mengine ukiyasikia yanatia hasira sana
‼️🚨TUMEJUA MPANGO WAO OVU‼️
Msione huyu Sisty anahangaika kama kuku anayetaka kutaga - KATUMWA!
Wanalazimika kumwachia Tundu Lissu ila wameongea na kukubaliana akitoka Lissu akose platform ya kuongea na umma - so wameazimia kuifungia Chadema kama si kuifuta!
Tena msibishe nyie madhulmati wauaji maana vikao mkikaa tunapata details zote! Na hii niligusia ila jana au juzi kikao ndo kimeamua rasmi huu upumbavu!
Ni hivi: ACHANENI na huu uovu! Lissu mwachieni na CHADEMA acheni iendelee na kazi!
Sisi tunataka serikali na bunge haramu wote muondoke! Tuanze upyaa! Uchaguzi huru, haki na uwajibikaji kwa ajili ya mauaji ya Oct 2025 na Katiba Mpya
These are our demands kama wananchi and they are non negotiable!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
BREAKING NEWS🚨🚨
MAJINA YA POLISI WALIOUWAWA NA SABABU YA KIFO CHAO JANA.
Imetokea HUKO KELEMA,Wilaya ya Chemba,Kuna polisi wanne walienda kumshika muuza bangi kwenye kurupushani Afande Damian akampiga risasi yule kijana,wanakijiji baada ya kuona hivyo wakaingilia kati na kufanikiwa kuwaua polisi wawili ambae ni Afande Aweso,na askari wa pili ni mgeni ana siku ya tano akitokea Dodoma ni wa fidforce,waliuwawa papo hapo kwa kukatwa shoka na kuchomwa mishale za sumu,
Afande Aweso Anazikwa leo kwa kuwa ni muislamu na kwa presha ya jana mke wake Aweso presha ilipanda akafariki jana sa moja jioni,kwaiyo tuna misiba 2 kwa Aweso,yule mwingine anasafirishwa kwenda Manyoni,
Wawili ambae ni Afande Damiani na Dany wako mahututi hospitali ya Chemba.
Polisi msemaji Bw. Misime tunaomba utangaze hili utangaze haraka hamna kitu mtaficha kwenye Dunia ya leo.
DANGER DEMOCRACY AT CROSSROAD.
STIGMA AND VICTIMIZATION OF CHADEMA LEADERS AND ITS MEMBERS IN TANZANIA?
The rule of law, political rights & freedom of association are being eroded in Tanzania.
This morning: Dar es Salaam Police raided the home of Mr. Mbyela, a CHADEMA campaign materials distributor in Mburahati.
They failed to find him, so did they arrest his wife on his behalf so pathetic?! & and consequently seized everything from thei home ? is this how politic operate now days?!
Neighbors witnessed police loading flags, T-shirts, caps, scarves, drums, kangas & all items bearing CHADEMA colors into police trucks.
This is sabotage. By holding these materials indefinitely, police are blocking CHADEMA members & leaders nationwide from accessing campaign materials during rally season.
So I ask the Mheshimiwa sana Jeshi la Mtu mmoja Hon.Deputy Registrar of Political Parties: Is this what “clean politics” looks like?
BAK Mwabukusi
#RuleOfLaw #Tanzania #HumanRights #FreedomOfAssociation #CHADEMA #Democracy