@SuluhuSamia
Mama shikamoo!!
Hili jambo la kuzimika kwa taa za uwanja wa Mkapa ni aibu kubwa kwa TAIFA.
Naomba huyo meneja wa Uwanja fukuza arakuchafua.
@jemedarisaid Mama anaingilia uhuru wa Kamati ya TFF anatakiwa afunguliwe mashtaka.
Anatumia cheo Cha mzazi kuiaminisha jamii kuwa mwanae ameonewa??
Swala la kisheria linahusika vipi na maswala ya kifamilia.?
Mama anatumiwa na watu wahuni wale wale waliomrubi mwanae..
Natamani sana hili swala la @IamFeisalSalum lisichukue akili za watanzania.
Nakubali ni mchezaji mzuri sana sisi kama Yanga tunatamani kuendelea nae.Kama Viongozi wa @yangasc1935 wanaelewa wangelimaliza ikiwa anaenda aende na kama anabaki tuendele na mengine
@SuluhuSamia Safi sana mama hongera nakuheshimu sana mama we we ni MTU uliyejawa hekima nyingi katika uongozi hakika tulipata MTU sahihi. Mungu akuinue zaidi #@SuluhuSamia