๐ Equity for Tanzania ๐
@EFTA_tz
โ๏ธ Equipment Loans โ๏ธ
MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA.
Get in touch:
๐ 0765417387
๐ง Email: [email protected]
Usiruhusu mtaji mdogo kuwa kikwazo cha kutekeleza miradi mikubwa.
Kwa mkopo nafuu usiohitaji dhamana, tunakuwezesha kumiliki gari au mashine unayohitaji ili kuanzisha, kukuza au kupanua biashara yako.
Usisubiri fursa zikupite. Chukua hatua leo na anza safari yako ya mafanikio.
Kwa mawasiliano zaidi, tupigie au tuma namba zako na mkoa uliopo kwa mawasiliano zaidi:
๐ +255 765 417 387
#EFTA #MikopoYaMashine #MkopoWaMagari #AssetFinance #BiasharaInakua #UwezeshajiWaBiashara.
Kuna hisia ambazo haziwezi kuelezwa kwa maneno.
Ukweli ni kwamba Kila tunapomkabidhi mteja wetu gari au mashine, hatuoni kifaa tulichokikabidhi, Bali tunaona mwanzo wa biashara inayopanuka, ajira mpya zinazoundwa, huduma bora zinazoimarika, na ndoto zinazogeuka kuwa mafanikio.
Hizi ndizo nyakati zinazotukumbusha kwa nini tunafanya tunachofanya.
Tamanio letu ni kuona na wewe tumekufikia na kukukabidhi funguo zitakazotimiza ndoto zako kama ambavyo leo tena tumemwezesha mteja wetu tunaendelea kuwawezesha wateja wetu wengine.
Ikiwa na wewe unahitaji gari au mashine kwa mkopo nafuu na utakaokufungulia mwanzo mpya wa mafanikio basi tupigie kwa namba zetu hapa chini:
๐ +255 765 417 387
#EFTA #MikopoYaMashine #BiasharaInakua #LogisticsTanzania #UwezeshajiWaBiashara #FAWTruck #AssetFinance
๐๐ง๐๐๐๐๐ ๐ง๐๐จ๐ญ๐จ ๐ณ๐๐ค๐จ. ๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ค๐ฎ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐ค๐จ.
Miliki EECO VAN kupitia mkopo nafuu wa EFTAโbila dhamanaโna anza kuongeza uwezo wa biashara yako ya usafirishaji na usambazaji.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tutumie namba yako pamoja na mkoa uliopo, nasi tutawasiliana nawe.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #EFTATanzania #MikopoYaBiashara #MkopoWaMagari #EquipmentFinance #SMETanzania #BiasharaInayokua #EECOVan #CFAOMobility #BebaSambazaFaidika
๐๐๐ง๐๐จ๐๐ฆ๐ฎ๐ ๐ฅ๐๐จ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฐ๐๐ง๐๐จ๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ ๐ค๐๐ฌ๐ก๐จ.
Kwa ushirikiano na @Hanspaulgroup, tunaendelea kuwezesha wadau wa sekta ya utalii kumiliki magari ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu na conversion zinazokidhi mahitaji ya soko kwa mkopo bila dhamana.
Na wewe kama hii ni ndoto yako, kumiliki gari la Utalii kwa ajili ya biashara yako, fursa hii ni yako.
Wasiliana nasi Jumatatu hadi Ijumaa kwa msaada zaidi:
๐ +255 765 417 387
#EFTA #HanspaulGroup #SafariVehicle #TourismFinance
Je, bado unatumia gharama kubwa kukodi usafiri wa wanafunzi au wafanyakazi kila siku?
Ni wakati wa kumiliki ๐๐ข๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐จ๐๐ฌ๐ญ๐๐ซ yako kupitia EFTA.
Kwa suluhisho zetu za kifedha, unaweza kupata basi linalokidhi mahitaji ya shule, taasisi, kampuni au biashara yako kwa kuchangia kuanzia 25% tu kama malipo ya awali.
โ Hakuna dhamana ya ziada
โ Mkopo wa hadi 75% ya thamani ya gari
โ Marejesho nafuu hadi miaka 3
โ Huduma inapatikana nchi nzima
Iwe ni kusafirisha wanafunzi kwenda shuleni kwa usalama au kuwapeleka wafanyakazi kazini kwa wakati, EFTA inakuwezesha kumiliki usafiri unaoongeza ufanisi na kupunguza gharama za uendeshaji.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu au tuma namba zako na mkoa uliopo nasi tutawasiliana na wewe.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #MkopoWaMagari #Hiace #CoasterBus #SchoolTransport #StaffTransport #BiasharaInakua #HakunaDhamana #EquipmentFinancing #MobilitySolutions
๐จ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
Badala ya kulipia gari la mwingine, miliki Tipper Truck yako kupitia EFTA.
โ Anza na asilimia 25% tu
โ Hakuna Dhamana itakayohitajika
โ Marejesho hadi miaka mitatu
Biashara kubwa huanza pale unapomiliki vifaa vyako mwenyewe.
Andika "TIPPER" + namba yako ya simu kwenye comments nasi tutakupigia kwa msaada zaidi.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #TipperKwaMkopo #MkopoWaMagari #UkuajiWaBiashara #FursaYaBiashara
@eftatanzania kwa kushirikiana na @cfaomobilitytanzania tunakuletea PROMOTION KUBWA YA EECO VAN! ๐
MILIKI EECO VAN KWA KULIPIA TZS 44,811 TU KWA SIKU.
โ Anza na asilimia 20% ya thamani ya EECO Van kama malipo yako ya awali
โ Kisha lipia kiasi kilichosalia kidogo kidogo kwa muda wa hadi miaka 3
โ Inafaa kwa usambazaji wa bidhaa (FMCG)
โ Inafaa kwa huduma za delivery
โ Inafaa kwa biashara ndogo na za kati (SMEs)
โ Gari lipo stoo tayari kukabidhiwa
EECO VAN โ Beba Zaidi. Sambaza Zaidi. Faidika Zaidi.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba zetu hapa chini au tutumie namba zako pamoja na mkoa uliopo nasi tutawasiliana na wewe.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #EFTATanzania #MikopoYaBiashara #MkopoWaMagari #EquipmentFinance #SMETanzania #BiasharaInayokua #EECOVan #CFAOMobility #BebaSambazaFaidika
Kila lori linalotoka kukabidhiwa ni uthibitisho wa biashara inayopanuka kwa hatua thabiti.
Leo tumekabidhi Lori jipya la FAW kwa mteja wetu kupitia suluhisho za kifedha za EFTA zinazowawezesha wafanyabiashara kumiliki magari na mashine muhimu za biashara bila kikwazo cha dhamana.
Hili si lori tuโni nguvu ya kuongeza ufanisi, kupunguza gharama za uendeshaji, kufungua njia mpya za masoko, na kuharakisha ukuaji wa biashara.
Tunamshukuru mteja wetu kwa kutuamini EFTA kama mshirika wake wa kimkakati wa kifedha. Tunaendelea kusimama pamoja na wafanyabiashara wanaotaka kusonga mbele kwa vitendo, si ndoto tu.
Biashara yako inaweza kuwa hatua inayofuata.
Wasiliana nasi leo upate mkopo wa gari au mashine ya biashara yako bila dhamana.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #FAWTruck #AssetFinance #MikopoYaMashine #BiasharaInakua #LogisticsTanzania #UwezeshajiWaBiashara
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐?๐๐
EFTA inakuwezesha kumiliki bila kikwazo cha mtaji mkubwa.
Pata mkopo wa hadi 75% ya thamani ya gari au mashine unayohitaji kwa urahisi na bila dhamana ya ziada.
Unachangia tu 25% ya awali, na unaanza kutumia kifaa kinachokuzalishia kipato mara moja.
โ Hakuna dhamana
โ Marejesho nafuu hadi miaka 3
โ Mikopo inapatikana nchi nzima kupitia ofisi zetu
๐ Iwe ni trekta, gari la mizigo au mashine ya kiwandani, EFTA inakufungulia njia ya mafanikio!
Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tutumie namba zako kwa mawasiliano zaidi au Tembelea ofisi zetu zilizopo karibu nawe.
๐ +255 765 417 387
#MkopoWaMashine #MkopoBilaDhamana #MashineNaMagari #EFTA #WekezaKwaUhakika #FursaKwaWote
Heri ya Siku ya Baba!
EFTA tunawatakia kina baba wote heri na baraka katika siku hii maalum. Asanteni kwa uongozi, juhudi na mchango wenu katika familia na jamii. Tunawathamini sana.
#FathersDay#EFTA#ShukraniKwaBaba
๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ข๐ง๐๐๐ง๐ณ๐ ๐ซ๐๐ฌ๐ฆ๐ข!
Ni furaha kwetu kukabidhi ๐ ๐๐ซ๐ข ๐ฅ๐ ๐ฎ๐ญ๐๐ฅ๐ข๐ข kwa mteja wetu kupitia suluhisho la kifedha la EFTA linalowawezesha wadau wa sekta ya utalii kumiliki na kuendesha biashara zao bila vikwazo vya mtaji mkubwa wa awali.
Gari hili siyo tu usafiriโni chombo cha kukuza kipato, kuongeza huduma bora kwa watalii, na kufungua fursa mpya za kiuchumi ndani ya sekta ya utalii inayokua kwa kasi.
EFTA tumejikita kuwawezesha wateja wetu kusonga mbele kwa vitendo, si maneno.
Tunamshukuru mteja wetu kwa imani, na tunatarajia kuona mafanikio makubwa zaidi katika safari hii mpya ya biashara yake.
Ikiwa na wewe unatamani kumiliki gari yako ya utalii au mashine nyingine yoyote kwa ajili ya biashara yako ya utalii, basi wasiliana nasi Jumatatu hadi Ijumaa kwa msaada zaidi.
๐ +255 765 417 387
#EFTA #TourismFinance #EmpoweringBusinesses #SafariYaMafanikio #UtaliiNaFursa #AssetFinancing
BIASHARA YA EMBROIDERY INA FURSA KUBWA. JE, UNA MASHINE SAHIHI? ๐งต
๐๐ง๐ข๐๐จ๐ซ๐ฆ๐ฌ. ๐๐จ๐๐ข๐. ๐-๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ญ. ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐ณ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ข.
Mahitaji yapo kila sikuโlakini bila mashine sahihi, oda nyingi zinapotea.
Kupitia mkopo wa EFTA, sasa unaweza kumiliki ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ na kuongeza ubora, kasi na uwezo wa kuhudumia wateja wengi zaidi.
โ Malipo ya awali nafuu
โ Masharti rahisi
โ Marejesho hadi miaka 3
Usikose fursa za biashara kwa sababu ya kukosa mashine.
๐ +255 765 417 387
#EmbroideryBusiness #EmbroideryMachine #MkopoWaMashine #EFTA #BiasharaIkue #FaidaZaidi #MilikiMashine #GrowWithEFTA
Beba Zaidi. Hudumia Zaidi. Uza Zaidi.๐๐ฆ
Suzuki EECO Van kupitia mkopo wa EFTA ni suluhisho la biashara inayohitaji usafiri wa uhakika wa kufikisha bidhaa kwa wateja.
โ๏ธ Anza na 20% tu
โ๏ธ Hakuna dhamana ya ziada
โ๏ธ Lipa kidogo kidogo kwa hadi miaka 3
Kwa mawasiliano zaidi, tupigie au tuma namba yako na mkoa ulipo kwa msaada zaidi:
๐ +255 765 417 387
Suzuki EECO Van - Gari ya Biashara Zinazosonga Mbele.
#EFTA #SuzukiEECO #MkopoWaMagari #KuzaBiasharaYako #BiasharaYakoKwanza #WajasiriamaliTanzania #PigaHatuaMbele
๐จ๐๐๐ง๐ ๐๐ณ๐จ ๐ฅ๐ ๐๐๐ณ๐ข: "๐๐ง๐ฏ๐๐ฌ๐ญ๐ฆ๐๐ง๐ญ ๐๐๐๐ข๐๐๐ซ ๐๐ง๐ญ๐๐ซ๐ง."
EFTA inatafuta watu wenye shauku na kujituma kujiunga na timu yetu kama "๐๐ง๐ฏ๐๐ฌ๐ญ๐ฆ๐๐ง๐ญ ๐๐๐๐ข๐๐๐ซ ๐๐ง๐ญ๐๐ซ๐ง" katika ofisi zetu za Arusha | Moshi | Mwanza | Bukoba | Dar es Salaam.
๐๐ฐ๐ ๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฎ๐ง๐ ๐ ๐ง๐ ๐๐ ๐๐?
โ Uzoefu wa vitendo katika uwekezaji na ufadhili wa SMEs
โ Uhusiano na mchakato halisi wa biashara na tathmini ya mikopo
โ Uelekezi na ushauri kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu
โ Fursa ya kukua ndani ya taasisi inayoongoza katika kutoa mikopo ya mashine.
๐๐๐ฆ๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ ๐๐๐จ๐ฆ๐๐ข:
Waombaji wote wenye nia na sifa wanapaswa kutuma CV zao kupitia tovuti yetu hapa chini:
https://t.co/8zMLpOjdZU
๐๐ฐ๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐จ๐ฆ๐๐ข: ๐๐ ๐๐ฎ๐ง๐ข ๐๐๐๐
๐๐ข๐ง๐ ๐๐ญ๐ข๐: Ni maombi ya mtandaoni pekee yatakayopokelewa.
#Kazi #FursaYaKazi #MafunzoKwaVitendo #Fedha #Uwekezaji #SMEs #KukuaKitaaluma #EFTA
๐ค ๐๐ง๐๐๐ก๐๐ง๐ข ๐ฅ๐๐ณ๐ข๐ฆ๐ ๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐๐๐ก๐ ๐ณ๐จ๐ญ๐ ๐ง๐๐ข๐ฉ๐จ ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ข ๐ ๐๐ซ๐ข?
๐บ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.
@EFTA_tz tunakuwezesha kupata gari la matumizi binafsi au la ofisi kwa mkopo bila dhamana kwa malipo ya awali kuanzia 25% tu.
Andika "๐๐๐๐ ๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ฒ๐ ๐๐๐๐" kwenye comments au tutumie inbox, nasi tutakueleza namna ya kuanza mchakato huu wa kumiliki gari yako sasa.
๐ +255 765 417 387
#MkopoWaMagari #MkopoBilaDhamana #MarejeshoNafuu
๐๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐๐ง๐จ ๐๐ฉ๐ฒ๐, ๐ ๐ฎ๐ซ๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐ฒ๐!
@EFTA_tz na @Hanspaulgroup tumesaini makubaliano mapya yatakayowawezesha wadau wa sekta ya utalii kupata mikopo ya magari ya utalii kwa masharti nafuu zaidi, ikiwemo punguzo la malipo ya awali (Down Payment).
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Arusha na Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Bwana @nicomed_bohay (Kushoto), pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa HANSPAUL Automotive Limited (HAL), Bwana @SatbirHanspaul (Kulia), yakilenga kuongeza upatikanaji wa magari bora ya utalii na kuimarisha ukuaji wa sekta ya utalii nchini. Akishuhudia tukio hilo ni Meneja wa EFTA Arusha, Bwana @kombedj (katikati).
Tunajivunia kuendelea kujenga ushirikiano unaowezesha wawekezaji na watoa huduma za utalii kupata suluhisho za kifedha zinazochochea ukuaji wa biashara zao.
#EFTA #TourismFinance #HAL #MagariYaUtalii #BilaDhamana
๐จ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐
EFTA inatafuta ๐๐๐ง๐๐ฃ๐ wenye uzoefu na uwezo wa kusimamia ukuaji wa biashara kujiunga na timu yetu katika matawi yetu ya ๐๐จ๐๐จ๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐๐๐๐ฒ๐.
Kama una sifa za uongozi imara, uzoefu wa masuala ya benki/sekta ya fedha na unauwezo wa kusukuma mbele mafanikio ya biashara, basi hii ni fursa yako.
๐ Maeneo: ๐๐จ๐๐จ๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐๐๐๐ฒ๐
๐ Mwisho wa kutuma maombi:๐๐ ๐๐ฎ๐ง๐ข ๐๐๐๐
๐ Tuma maombi mtandaoni: https://t.co/8zMLpOjdZU
Jiunge na EFTA na uwe sehemu ya kusaidia ukuaji wa sekta ya ufadhili wa SME nchini Tanzania.
#EFTA #FursaYaKazi #MenejaWaTawi #AjiraTanzania