@SuluhuSamia nchi nyng z Afrika n dunia kiujumla zinatamani sn kumpata mtu wa kufanya kazi km raisi wetu.Mungu ametupa #TUNU n ss 2 tushindwe wnyew kpind hk cha mama yetu @SuluhuSamia n kpnd ch kuendelea kila sekta,Ona sekta y afya,umeme,maji,barabara,elimu na kila wizara zote amepita huko🦾
Unyenyekevu, Heshima na Ufanyaji wa Kazi kwa bidii Utakusogeza Kufikia malengo yako.. Zingatia Dharau zako Zisikutoe kwenye reli Kwani watu Watakutoa Nje ya Mfumo Hata Ukiwa na Uwezo Mkubwa Kiasi Gani.,
📌Watu Huona Bora Shari Nzima Kuliko Nusu Shari
"Hatuwezi Kufanana katika mafanikio, Hivyo basi Hapo Ulipo Paheshimu Sana.Kuna wengi Sana Wanatamani Kufika hapo ulipofikia wewe na wameshindwa"
#respect
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA NDUGU DAUD YASSIN MLOWE
MWENYE DHAMANA YA WANA CCM, VIJANA,WANAWAKE,WAZEE, WATOTO NA IRINGA KWA UJUMLA ,
MTU RAHIMU NA MWENYE USIKIVU KWA WANANCHI NA WANACHAMA WAKE.
"KIONGOZI MAKINI NI YULE ANAYEPOKEA MAWAZO NA KUSIKILIZA SHAURI MBALIMBALI"
KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU BORA HASSAN NGARABA LEO JUNI 26 AMEKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI, NA KATA WA KANDA YA RUAHA (Ikijumuisha kata ya Ruaha, Kitwiru na Igumbilo)
KAZI INAENDELEA OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI INAENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 27/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Mkwawa Ikijumuisha kata ya Makorongoni,Ilala na Mkwawa
#KaziInaendelea#CCMIMARA
KAZI INAENDELEA OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI INAENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 27/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Kitanzini Ikijumuisha kata ya Mshindo,Kwakilosa,mivinjeni na kitanzini.
#KaziInaendelea#CCMIMARA
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Wilaya ya Iringa Mjini na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Christina Makweyi Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Mwenyekiti wa jumuiya ya WAZAZI na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Shedrack Masanika Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Meya wa Manispaa ya Iringa na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Ibrahim Ngwada Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa Mjini Ndugu Isaack Kikoti Anakutakieni Sikukuu Njema ya Eid
KAZI INAENDELEA KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA IRINGA MJINI NDUGU BORA HASSAN NGARABA AMEENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA MASHINA,MATAWI NA KATA. Ambapo leo Tarehe 30/06/2023 ilikuwa Zamu ya kanda ya Kihesa Ikijumuisha kata ya Kihesa, Mtwivila na Gangilonga.
#CCMIMARA