Environmental Management for Sustainable Development (EMASUD) facilitates appropriate approach on climatic change adaptation and environmental conservation.
Ya mwisho tena ya kufanya marekebisho ili hawa ndugu zetu ambao wamekutana na changamoto hii wapate fursa ya kuomba mkopo ili wasisitishe safari ya kufanikisha ndoto yao kiElimu.
Nawasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
@HakiElimu@wizara_elimuTz@joseph_malekela
Changamoto aliyokutana nayo ni kwamba akaunti yake ya @HESLBTanzania haimruhusu tena kufanya marekebisho yoyote na kuambiwa hakuna njia nyingine mbadala maana nafasi ya kufanya marekebisho ilitolewa moja tu...
Ombi langu kwa @HESLBTanzania na @wizara_elimuTz naomba mtoe nafasi
Leo nimepata fursa nzuri ya kufika @HESLBTanzania nikiwa na shida ya kuulizia utaratibu wa kufuata baada ya rafiki yangu aliyeko kijiji cha #Sirorisimba huko mkoani Mara kuwasiliana nami na kunijuza amepata taarifa kupitia akaunti yake ya @HESLBTanzania kuwa cheti cha
#Volunteering Opportunities to form four, form six and fresh university graduates whose passion rely on #Environmental related issues. https://t.co/tvxFZUOIv6
Finally our #EMASUD research team successfully managed to present proposed solutions for the identified environmental problems at Makongo ward. ⠀
It's now time for the LGA and different stakeholders to join their… https://t.co/gngqZXnruP
Ili kupunguza tatizo la AJIRA serikali ifanye hv,
1. Kuwe na mfumo wa Paid interns ya miezi 6 kwa graduates ili kuwapa mitaji/experience
2. Kutoa tax incentives kwa taasisi binafsi zinazo recruite fresh graduates wngi
3. Kuwa na tax exemption ya 3 yrs kwa STARTUPS za graduates
Ni ndoto ya kila mtoto kutaka kuwa Mhandisi, Rubani, Daktari, Mwalimu n.k, Ila wakikuwa wanaishia kuwa wajasiriamali, wafanyabiashara, wachekeshaji n.k, Ni wakati sasa wa kuwa daraja la watoto wetu kutimiza ndoto zao kwa kuwapa ushirikiano unaohitajika.
@EMASUD_org#Coaching2020
Early today, our #EMASUD research team had a good time to present the research findings ready to come up with the proposed solutions that will tackle the identified environmental problems at Makongo ward in Dar es salaam, Tanzania
#EMASUD#Research2020#Wastewater#Solidwaste
Today some of our #EMASUD phase I research participants will be doing their dissertation presentation as a step towards achieving their Bachelor's degree.
We wish them the best as a way of acknowledging their good work and dedication at our organization #EMASUD
Today some of our phase I research team are busy doing data analysis and entry after the data collection on the ongoing research work at Makongo Ward in Dar es salaam, Tanzania.
This is to help identify the problems… https://t.co/ha8fwZwJam
Our @emasud_org Director of Research and Development @reubenmagige conducting a solid waste and wastewater research with one of the Makongo juu residents in Dar es salaam, Tanzania.
As #EMASUD in collaboration with… https://t.co/EHHibkGxeH