βMimi siwezi kuwakashifu au kuwazungumzia Wakenya vibaya, wamenilea kimziki na kunisupport sana. Utofauti wao na Mama Samia sijajua nini chanzo. Lakini niwaambie tu ukweli kwamba Kenya wamepiga hatua kubwa kimaendeleo na kidemokrasia wanajielewa sana,β - Alikiba