Kudate dame thick sana na wewe uko slim hukuwa tricky, anakuja kwako anavaa boxer zako, zinapanuka sana akishaenda hizo boxer inabidi uvae na suspender.
My job ends with voting for sifuna on the ballot, after he is in state house naingia opposition fully to hold him accountable for all the dreams he has sold us
Masaa imewadia Ghulamu niende nijilaze kwenye kijigodoro ninachojistiri hii ni baada ya kujihusisha na uimbaji mkali wa kwaya, ningekuwa mangweni muda kama huu ila pombe na anasa niliwacha na nikamkana ibilisi na hila zake zote,Neema ya bwana na iwe nanyi nyote.Alamsiki!
Sahii nimejiachilia deliberately nakaa legion ule ninja wa mapepo kwa biblia alitolewa na mwanakondoo ndio nikiingia kwa barber next month anifanye kiumbe kipya, by then kama hamtakuwa mumefungia your ovulating bitches nitawanasa wote😂
Napita huku kando ya barabara and a woman in a harrier drives straight into a ditch. Many are claiming that it is careless driving but l blame Mwongela the barber for the sharp hair cut he gave me.
Ugly thing nimejipiga manukato niende kanisa ,napiga sala trying kukemea hii spirit ya rejection from baddies coz of my ugly face ,eye contact kidogo na pastor nasikia ashaanza kusema be careful the devil is amongst us,I take walk of shame as a soldier who has lost a battle
Nigga with zero aura naamka with sadness allover my face, reason ni juu jirani ameshinda akifanya ngono whole night loud with his kienyeji kisii beb,nimeshinda nikiwa nimembao hata usingizi sijapata,hii weather inaendelea kuongeza taabu juu ya zile za kasongo,kupenya hatupenyi.