Ingekua mimi nimeiba iyo 94m nakimbia kwa nyumba kwanza nawachia bibi 500shillings nikichukuanga jacket na gumboot juu ya hii mvua nipande kampala express,then i come back to kenya through the bushes in busia,DCI wanitafutange uganda kumbe niko Isiolo with 6 muslim wives
Madem hua stingy kuruka,bibi anaeza kupigia simu kukushow hakuna chumvi kwa nyumba na saaio ako na more than 50k kwa mpesa.though personally huanga sijam juu atleast najua ako na za kuanza maisha na watoi nikiingia nyasi.
Ladies and gentlemen ukiskia miezi za bar zimeingia,just know the year is over, from September to December inakuwanga mteremko,ukizubaa kidogo unapata watu wako kesha ya kurukisha mwaka