Shida ya hii gava hudhania ikitumia
v!ol€nce Gen Z will stop demonstrations, Sasa wewe unatishia mtu Ako hopeless in life? Mtu amesoma na Hana kazi? Mtu anaona wazazi wake wakiteseka na Hana anything to help? Mtu Ako depressed?
"Afadhali hii kazi ikae, lakini mimi sitatumiwa vibaya kupiga na kuuwa Wakenya" A Police Officer risks his job as he lectures his bosses while supporting Gen Z protests
Moi Avenue | Thika Road | Gen Z
#25thJune2025