"Tumepanga... Tumesema... Tumeweka mikakati... Tutafanya.... Tumeahidi... Tutapunguza... Tutateremsha... Tutahakikisha... Mwaka huu... Chini ya miezi sita... Kufikia mwezi wa Tisa... Tumeongea na waziri... Kuanzia mwezi ujao... Vile vile Tumetenga.... Sijui Kama tunaelewana?
"Tumepanga...
Tumesema...
Tumeweka mikakati...
Tutafanya....
Tumeahidi...
Tutapunguza...
Tutateremsha...
Tutahakikisha...
Mwaka huu...
Chini ya miezi sita...
Kufikia mwezi wa Tisa...
Tumeongea na waziri...
Kuanzia mwezi ujao...
Vile vile Tumetenga....
Sijui Kama tunaelewana?"
Good morning fellow Kenyans