๐กโก๏ธ Fahamu maana ya #gesijoto
๐กโป๏ธ Ufahamu kuhusu #dunia yetu na mifumo yake ni muhimu katika kutimiza wajibu wetu wa kudumu wa #KuitunzaDunia na #Mazingira yake.
๐ Dunia Moja. Tuitunze!
๐๐พ๐ก #TakaZaChakula huchangia โ ya gesijoto zinazozalishwa kwa mwaka!
๐ก#Chakula kinachopotea husababisha hasara mara dufu!
โป๏ธ Mbinu bora za usimamizi katika mnyororo wa thamani wa #chakula zitasaidia kutokomeza upotevu
๐ Dunia Moja. Tuitunze!
#gesijoto#UsalamaWaChakula
๐๐พ๐ก #TakaZaChakula huchangia โ ya gesijoto zinazozalishwa kwa mwaka!
๐ฎ๐ก#Chakula kinachopotea husababisha hasara mara dufu!
โป๏ธ Mbinu bora katika mnyororo wa thamani wa #chakula zitasaidia kutokomeza upotevu
๐ Dunia Moja. Tuitunze!
#gesijoto#UsalamaWaChakula#Mazingira
๐๐ก Maisha chini ya maji ni muhimu sana kwa sayari na watu wake
๐ Kila kiumbe ana haki na umuhimu wa kuishi katika #mazingira yake
๐ก #KomeshaUchafuzi#bahari na vyanzo vya maji
๐ Dunia moja. Tuitunze!
๐๐พ๐ก Ni muhimu kuzingatia ukweli huu wa athari za #MabadilikoTabiaNchi
๐ก Watu wasiojiweza ndio huathirika zaidi!
โป๏ธ Tunapopambana kuzuia #mabadilikoyatabianchi ni lazima jamii hizo zipate haki zao za kuishi kwenye #Dunia salama
๐ Dunia moja. Tuitunze!
๐กโป๏ธ Dunia ina uraibu wa #plastiki
๐ฎ Theluthi mbili ya #plastiki zinazozalishwa kila mwaka ni za maisha mafupi.
โป๏ธ Uchumi unaotegemea sio uchumi #endelevu kwani unaharibu mifumo ya #ikolojia na afya za binadamu.
๐ #Dunia Moja. Tuitunze
#KomeshaUchafuziWaPlastiki
๐๐พ๐ก
๐ Maisha duniani na uendelevu wake hufanya kazi katika mifumo inayotegemeana
โป๏ธ Badiliko dogo litasumbua mifumo yote na madhara hutokea
โ ๏ธ Shughuli za binadamu ndio chanzo cha mabadiliko hayo
๐Dunia moja. Tuitunze!
#MaishaEndelevu#KomeshaUchafuzi#HewaYaUkaa
๐๐พ๐ก๐
๐ Viumbehai wa majini ni wengi kuliko wa nchi kavu
๐ก Binadamu na mazingira hutegemea mifumo ya maisha majini
โ ๏ธ Uchafuzi hugharimu maisha ya viumbe hai wote tukiwemo binadamu
๐ Dunia moja. Tuitunze
#maishanimazingira#KomeshaTaka#MaishaEndelevu#MaishaChiniYaMaji
๐๐พ๐ก๐
๐ Kuongezeka kina cha bahari = Kupanda usawa wa bahari
โก๏ธ Ni matokeo ya kuongezeka kwa joto duniani.
โ ๏ธ Madhara kama mafuriko na mawimbi ya dhoruba kwenye maeneo ya fukwe hutegemewa kutokea
๐ Dunia moja. Tuitunze!
#MabadilikoYaTabianchi#KuongezekaJotoDuniani