Itoshe kusema awa LEICESTER CITY hawana tofauti na wajumbe...wametuaminisha weee mwanzoni kuwa tuko pamoja watakaza mwanzo mwisho...mwisho wa siku wametugeuka.
@ManUtd#GGMU https://t.co/n6tRlQqY8c
Hii sasa ndio ASINO nayoijua mimi...sio ile iloshinda majuzi dhidi ya #LIVERPOOL na #MANCITY...nilitaka nishangae...Asino washinde game 3 mfurulizo kwan wao wagonjwa. https://t.co/z3OV2s7yVJ
Wameanza kukata wese mdogo mdogo...Nawakumbusha tu @chelseafc baada ya #NorwichCity mna #Liverpool na #Wolves pia msijisahaulishe mko na sisi kwenye Nusu Fainali ya FA CUP. https://t.co/wvbHpzlVcD
Inaitwa Mwana ukome na Goal bora pia lake suh!...utasikia Mahater oooh! Kwan nyie mnagombania nini wakati Kombe limeshachukuliwa na wale kuku kishingo...Ndugu zangu sisi tuna jambo letu tunalitafuta wala hatuna… https://t.co/9TMLKdWG43
Binaadam tumeumbwa kusahau sana...tunakumbushana tu...huyu bwana mdogo na leo tena kawa #ManOfTheMatch kama ilivyokuwa juzi na kafunga tena incase kuna mtu atajisahaulisha.
@_MasonGreenwood @ManUtd#GGMU#GGMU https://t.co/1Bcb1neLVn
Mashallah tumemaliza kajambo ketu salama...mtusamehe sana timu ya watanzania @avfcofficial pamoja na @Samagoal77_ hatukuwa na namna nyingne ya kufanikisha kajambo ketu zaidi ya haka kaushindi kadunchu...Next game… https://t.co/6LKt3Sd24d
@_MasonGreenwood #TODAYSMANOFTHEMATCH hatumuuzi kwa gharama yoyote ile...niliwah sema na narudia tena huyu dogo ni balaa jipya pale OT na #EPL...Soon Washabiki wataanza kumuimba midomoni mwao. https://t.co/1c3Z6VsUpj
Kuna siku tutakapiga katimu tukatoe damu halafu muanze kutulaumu...maana mnajidai kama hamuoni hii combinenga ya @_MasonGreenwood martial_9 na marcusrashford chini ya usimamizi wa @paulpogba@B_Fernandes8 na… https://t.co/tbLzIP0Sjz
Achana na kipigo cha jana cha #Leicester na #Chelsea...Achana na kipigo cha leo cha #Tottenham...awa #WahengaFc@lfc ndo wamepigwa bana kama vibaka...yan na nyie #ManCity mlikuwa na huruma sana...mngewapiga ata… https://t.co/Fja1Sm5XWa
Hatimaye Wahenga Fc a.k.a VAR Fc wametimiza jambo lao maana walitamani dunia iishe kipindi kile cha Covid-19 waliposikia kuna uwezekano wa ligi kufuta...Ila Ubingwa bila Mashabiki Uwanjani ata hainogi. Inaitwa… https://t.co/vNcGy0BnQh
So kwa mfano tukiamua kujadili hapa huu ushindi tunajadili kipengele kipi sasa?...huo MuHatTrick wa TonnyMartial martial_9 au ile miAssist miwili ya RashidFuad marcusrashford au ile Combo ya @paulpogba na… https://t.co/plwhOGz5V8
So kwa mfano tukiamua kujadili hapa huu ushindi tunajadili kipengele kipi sasa?...huo MuHatTrick wa TonnyMartial martial_9 au ile miAssist miwili ya RashidFuad marcusrashford au ile Combo ya @paulpogba na… https://t.co/MHFUP7GvqX