Ndugu Kondoo wenzangu...!
Jeshi lenu imara bado linaendelea kumtafuta Kondoo mwenzetu mpendwa na wanyama wote waliohusika kumjeruhi kisha kumchukua akiwa zizini kwake jana usiku.
Kondoo yeyote mwenye taarifa juu alipo kondoo mwenzetu au za wanyama walio mteka jana usiku walete taarifa kwangu kwa siri ili tuwakamate wahusika..
Bwana Mungu wa Majeshi anasema
Mathayo 7:15-20
“Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali. Mtawatambua kwa matendo yao.
Taarifa ya Klabu ya Yanga Sc baada ya kupokea majibu kutoka CAS✍️
“Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa umepokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo
(CAS] kuhusu kesi yetu namba CAS 2025/A/11298.
CAS imeielekeza Young Africans Sports Club kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za Soka ili kushughulikia kesi yetu kabla ya kurudi kwao kwa ajili ya hatua za rufaa.
Lakini kutokana na unevu, uvunjwaji mkubwa wa kanuni na upendeleo wa dhahiri kwa baadhi ya timu unaoendelea kufanywa na Mamlaka za soka Tanzania, Vongozi wa Young Africans Sports Club hauna imani na hauko tayari kupeleka shauri hilo kwenye Mamlaka ambazo zinatenda dhulma.
Aidha, Vongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuujulisha Umma kuwa, msimamo wa Klabu yetu juu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu Msimu huu uko palepale kuwa hatutashiriki kwenye mchezo huo kwa namna yoyote ile.
Wanayanga wote, watakuwa tayari kuipambania haki yao kivyovyote vile ili kukomesha dhulma na uvunjwaji mkubwa wa kikanuni unaoendelea kufanywa
na Mamlaka za soka kwa maslahi mapana ya maendeleo ya soka nchini��� ____ imesema taarifa hiyo ✍️
#KitengeSports