Guava leaves helps in the treatments of;
🍀Premature ejaculation
🍀Cough
🍀Low sperm count
🍀Diarrhoea
🍀Hypertension
🍀Stomach ulcer
🍀low immunity
🍀Blur vision
🍀Painful menstruation
Boil the leaves with water for 15mins and take 90mls three times daily.
Klabu ya Yanga Sc imemtangaza Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha wake mpya akichukua mikoba ya Sead Ramovic ambaye anaondoka klabuni hapo baada ya kufunja mkataba na kocha Mjerumani huyo kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya leo Februari 04, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa Kocha Hamdi mwenye uzoefu mkubwa wa kufundisha soka akiwa amefanya kazi barani Ulaya, Asia na Afrika, anaungana na timu mara moja kuanza majukumu yake mapya.
Kocha huyo mbali na uzoefu alionao, pia ana mafanikio makubwa katika soka la Afrika akishinda taji la Ligi Kuu ya Algeria na kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2015-2016 akiwa na USM Alger.
#KitengeSports
THE DANGERS OF PARACETAMOL ABUSE ON THE LIVER.
Paracetamol (acetaminophen) is a common painkiller, but did you know taking too much can seriously harm your liver?
Let’s break down how it happens in simple terms.
As success follows perseverance, we are capable youth driven to transform agriculture value chain, to ensure food security for the well-being of the community through a strong agribusiness mindset.
#InvestInAgriculture#AgricultureIsLife#YouthInAgribusiness
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewapata na kuwahoji wasichana wawili (mmoja wa Miaka 16 Mwanafunzi wa Kidato cha Pili na mwingine Miaka 12 Mwanafunzi wa Darasa la saba) wakazi wa Vijibweni Kigamboni Dar es salaam kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo baada ya kutengeneza mazingira kuwa wametekwa na kwamba watekaji wanataka pesa.
Taarifa ya leo Februari 4, 2025 iliyotolewa na Kamanda Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imeeleza kuwa mnamo Januari 29, 2025 Jeshi hilo liliwapata na kuwahoji wasichana hao kufuatia ufutiliaji uliofanywa na kufanikiwa kubaini watoto hao walipokuwa na baada ya mahojiano ya kina walikiri kutengeneza tukio hilo la uongo ili waweze kujipatia pesa kwa udanganyifu toka kwa wazazi wao baada ya kutoweka tarehe 26/01/2025 na kuelekea Longoni Beach ambapo walikesha hapo hadi tarehe 27/01/205 asubuhi na baadae kuelekea maeneo ya Tungi hadi walipokamatwa wakiwa wakizunguka.
Aidha, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam katika kipindi cha mwezi Desemba hadi Januari 2025 katika kusimamia mifumo ya haki jinai Mahakamani baadhi ya watuhumiwa mbalimbali walipatikana na hatia ikiwa ni pamoja na Idrisa Rashid (35) Mkazi wa Kwembe Kimara alihukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kubaka kwenye Mahakama ya Wilaya Kinondoni. Paul Elisha (37) mkazi wa Mbezi Beach kwenye Mahakama hiyo hiyo ya Kinondoni alihukumiwa kifungo cha Maisha jela kwa kosa la kubaka na Jackson Mgeta (34) mkazi wa Kawe alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka.
Jeshi la Polisi limelaani vitendo vya watu vyenye lengo la kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu huku likitoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya ulinzi shirikishi ikiwa ni pamoja na kutekeleza falsafa ya ulinzi shirikishii ili kuzuia vitendo vya kihalifu.
#KitengeUpdates
HEART ATTACK vs. CARDIAC ARREST: KNOW THE DIFFERENCE
Heart attacks and cardiac arrests are NOT the same thing, but people often times, people tend to mix them up.
Let’s fix that in this thread.
Come with me 👇