@meamswahili Si mlishasema miaka hii hatutaki kujua umefanyaje kupata pesa sisi tutaheshimu pesa tuu sasa mbona mmeanza milio tulieni watu watafute pesa hakuna kukagua njia ya mwenzako we tafuta pesa tuu
@assengajrr@Eng_Matarra Kimsingi ni umeamua kubishana ila hoja ya @Eng_Matarra haielekei kwenye unakofosi.... kwa Lugha nyepesi jamaa kamaanisha katika kutafuta kwako usitolewe kwenye misingi sahihi ya utaftaji kwa matamaa ya maisha ya wengine