Unayeitwa Waziri mwenye dhamana ya kulinda raia na mali zao, unaweza kweli kuongea upumbavu kwa kiwango hiki na bado ukawa ofisini ? So sad.
Kwa kauli kama hii, hukupaswa kuwa ofisini hata kwa dakika moja. Dhamana ya kulinda maisha ya watu si mahali pa uzembe, dharau wala kauli zisizo na weledi.
@FKihamu Kuna wengine wapuuzi kuna mmoja alipigiwa na demu wangu so mchumba akashindwa kutoa maelezo yanayo eleweka basi mimi ikabidi nichukue simu nimsaidie dah mwana kani mind sana et mrudishie mwenyew simu nikamwambia acha usenge ikabidi nikate tu