Mama Magufuli tunaomboleza kifo chako huku tukikushukuru kwa kumzaa Shujaa wa Taifa Hayati Rais Magufuli. Mjaliwe na Mungu kukutana huko mbinguni kwenye raha ya milele katika Kristo. Wanafamilia poleni na asante kumtunza mama kipindi kigumu alichopitia baada ya kifo cha mwanae
The only things that happens without much resistance or opposition are body reflexes like breathing,Heartbeat nk Vingine yote vizuizi ni lazima in this Living Land .
~ https://t.co/zfJotAXKww Adriano
BRO TO BRO
Haijalishi unapitia wakati gani katika maisha Usikate tamaa bro
Ili mradi bado unaishi. Basi mapambano lazima yaendelee
Bado una muda.
Bado una pumzi
Bado una nafasi ya kubadilisha mambo.
Mwanaume wa kweli hakimbii changamoto anajifunza kuhimili na kuzoea mikikimikiki.
Anaweza kuanguka, anaweza kuumia, lakini anainuka tena akiwa imara na mwenye nguvu zaidi.
Siku zote Hadithi ya mwanaume haimaliziki pale maisha yanapokuwa magumu mara nyingi hapo ndipo safari yake halisi inapokuwa inaanza.
Inuka tena, Jipange upya na Endelea kupambana. 💪
Mafanikio ni Bidhaa Ghari sana , Bei Yake Itakushangaza . Jitoee sana uwe na Purchasing Power Itasaidia kumudu Nasio Vinginevyo .
Jenga, Tengeneza Thamani itakayo weza kulipwa.
Kijana mwenzangu haujachelewa bali haukuwa na mifumo ya kukuinua, connections za watu wa kukusaidia au familia tajiri ya kukupa mtaji na kukusogeza mahala sahihi. Wewe umejijenga mwenyewe kuanzia chini kabisa ukiwa hauna kitu. Jivunie mapambano yako, amini kesho yako ni bora.
Mungu AKIKUBARIKI Ukawa na KIPATO kina gawanyika Tafadhali Wekeza kwenye Ardhi Ni Hazina. Ardhi ni Sehemu Salama za Kuwekeza Na kufanya Pesa Yako kuwa in Economical Benefit Leo na kesho.
Make Your Earnings Increase Not to Decrease Kataa Sana,Kuwa Mrs Tomorrow Mungu AKIKUBARIKI🙏
Mungu AKIKUBARIKI Ukawa na KIPATO kina gawanyika Tafadhali Wekeza kwenye Ardhi Ni Hazina. Ardhi ni Sehemu Salama za Kuwekeza Na kufanya Pesa Yako kuwa in Economical Benefit Leo na kesho.
Make Your Earnings Increase Not to Decrease Kataa Sana,Kuwa Mrs Tomorrow Mungu AKIKUBARIKI🙏