#DearNyerere Kati ya Jambo gumu hapa Tanzania ni Kutaja Mali na Utajiri uliojilimbikizia kupitia nafasi yako kama Kiongozi. Uliondoka Madarakani ukiwa na Mikono Misafi isiyo na Kashfa ya Rushwa wala Ufisadi. Watanzania hawatakusahau daima.
Miongoni mwa huduma ambazo watumiaji wake wote wa nchi hii tunakubaliana kuwa imewashinda waendeshaji ni kwenye umeme. Lakini waendeshaji wenyewe kamwe hawawezi kukubali kuwa huo ndio ukweli wala.Angalau turudie rudie kuwaambia kuwa hawawezi,pengine itatusaidia siku moja.