@ngurumo Waziri wa elimu na wizara yako hebu chunguzeni hilo maana linaleta ukakasi,kama ni kweli ipo siku litakuja kusababisha mauwaji hebu chukulia mzazi anatokea au anaiona atawaelewa hao walimu na hap walimu wanafamila zao zinaishi mtaani je uhusiano wao na jamii utakuwaje#stopthat
@CloudsMediaLive@Caamil8 Kweli Mani acha nitafute pesa nije nunua magoli naona ninjia nzuri sana lakini haina faida kwamaendeleo ya soka la kimapinduzi chanya
@mbwana_mshindo Ndiyo ma a na huyo ni mwalimu wazee kwani tanzania inchi yangu hainaga kituo cha kuibua,kukuza na kuendeleza vipaji vya wanamichezoa wa umri wa utotoni