Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako;
• Palipo na chuki nilete mapendo
• Palipo na makosa nilete msamaha
• Palipo na shaka nilete imani
• Pasipo na matumaini nilete tumaini
• Palipo na giza nilete mwanga
• Palipo na huzuni nilete furaha.
Naomba kwa unyeyekevu mkubwa mnifungulie account yangu ya dereva niweze kupata kipato
@boltapp nimetambua nimefanya makosa kumuazima mtu ninaahidi sitarudia tena. Naomba sana mnirudishie uwezo wa kupakia wateja
@Thisisliie_ Hata angehusishwa mwanamke lazima kuhoji. Hiyo hali anavyoihadithia kutokea ndani ya siku tatu haiingii akilini. Ujue ndoa ni mchakato mrefu na wa gharama.