@MalkiaTabasamu@paisylynn Mtoto wa afu mbili umepig OP nishati safi vimiezi vitatu unataka upambane na walio pikwa wakaiva mpaka wakaungulia Binti utakufa vibaya Wewe nakuhurumia
@Moviesphere1 Tafuta hela tu. Huko international school of Tanganyika hamna mtot mwenye habar na kichw Cha mwanao. Ila ukipelek shule ya msingi/secondary tambukareli ,mtakuj etc huk watapata tu Cha kumbull hata awe mobeto. Just hata watamwambia "Muone mtu mwenye mweupe kama papa lililo oza"
@CypherSmithRowe Makka Ina MUNGU special..?? Au MUNGU unae muabudu nae ana favour maeneo alio swali mswaliji na Sio Moyo (integrate na dedication) ya mtu alie swali..??