@_yourBoyli4 Kocha mpuhuzi yani dimarco, jorginho unawaweka bench kweli ila tokea wanaita wachezaji kuwaacha wenye uzoefu na mashindano ilikuwa jau kwao kocha mwenyew wa mchongo tu
@SimbaSCTanzania Kama last year mlimuacha #Mkude na msimu huu mnataka kuendelea na #Mzamiru aiseeenh mtakuwa team ya ovyo huu ni mda wa kuleta changamoto mpya habari za kung'ang'ania walio dumu miaka zaidi ya kumi ni kheri kuwaacha tu #Mzamiru, #Kapombe na #Manula