Nishawai peana unused plastics kwa hao wajamaa wa takataka bibi akasema ati nimepeana vitu za watoto ndio Nikileta wanawake kwa nyumba wasijue niko na bibi.
Wanaume hutuma girlfriend allowance lazima wafuatishe text ya kuuliza kama amepata juu dem huwa anaona mpesa message anaclick anarusha simu huko just to send a warning that your subscription was almost overdue.