Acha kusema washkaji zako ni wanafiki, wanakukataa, au hawana muda na wewe...
Sikia bro, tushakuwa watu wazima, sio kama enzi zile tuna miaka 14; watu wana majukumu, watu wanatengeneza maisha, watu wana-deal na changamoto za ulimwengu
Bro To Sisters ✍🏿
Mwanaume Anaanza Na Kutamani Halafu Ndo Anakupende .....Akili Yako, Matendo Yako Na Tabia Yako Ndo Vitamfanya Mwanaume Aamue Kubaki Na Wewe Au Aondoke.
Kumekucha family
Broo Kabla ya Kutoka Asubuhi Kwenda Kwenye Mishemishe Usisahau Kusali
Umasikini Unavita kali Sana na Anayeweza Kusaidia Kushinda vita hivi ni Mungu pekee.
Mimi hamu na nguvu ya kwenda sehemu nikala kuku au supu afu mke wangu na mwanangu hawajala hiyo kuku sina.
Mzee wangu alikuwa bora kwenye kipengele hicho siwezi fanya otherwise.
Mwanaume ujanja sio kula kuku huko home wanashindia matembele hapana aise.
Morning reminder.
Mwanamke mwenye thamani ya chini anapenda uhuru, clubing, ma pombe na standards za one night stand.
Mwanamke mwenye thamani kubwa, anapenda amani, unyenyekevu, kuolewa na ibada.
Mtoto wa kike akiwa desperate na raha raha ni the more anazidi kupotea.
Hakuna mwanamke innocent;
-Awe bikra
-Awe sister
-Awe msabato
-Awe mtoto wa sheikh
Wana akili chafu zaidi ya unavyojua,
Mwanamke anataka mwanaume (bad boy) anayeweza kupush mipaka yake,
Ukimuonea huruma atakutana na sisi ambao hatujifunzi kitu kwenye movie za kikorea.
Man Up
Wanaume kumbukeni kwamba.
Wanawake ni watu wenye hisia kali sana hadi kwenye hasira zao ila ukiona manzi akiwa na hasira anakujibu anavyotaka na baadae kujifanya hana haja ya msamaha kisa mood yake iko off, kama mwamba jua hapo huna chako.
Mwanamke wa kweli anayempenda mpambanaji wake ana uwezo mzuri wa kujizuia kutoa maneno ya hasira na ya kutokujali na kuamua kujishusha mkutane Level ambayo mtaelewana.
Ukiona mnakwaruzana sana, ABORT MISSION and NEXT HER.
Huu Mwaka Ondoa aibu kabisa, Hakikisha unakua mtu ulioonyooka, Usiogope lawama, Hizi lawama zipo kwa ajili ya watu na watu ndio sisi, Usikopeshe mtu hela. Siku ukidai chako Wewe ndio unageuka Mbaya/Adui.
UKIWEZA KUTOKA KAZINI, UKAENDA NYUMBANI KUTULIA NA MKEO/FAMILIA AU HATA GETO MWENYEWE.
UKAACHA KUPITA KWENYE BAR NA CLUB HIZI.
LIKELIHOOD YA KUWEZA KUTUNZA PESA INAKUWA KUBWA.
SIMPLY UNAUWEZO KUWA TAJIRI.
RULE OF THUMB.