@michael_majeshi@444holywitch Fix mahusiano yako na Mungu, muombe suluhisho aliyekuumba maana mitihani na baraka vyote vinatoka kwake. Huyu unaemuomba suluhisho nae kaumbwa na huyohuyo Mungu, anavuta pumzi km yako na atakufa kama ww, yy mwnyw hajui suluhisho la matatizo yake. Ndo atakua na suluhisho lako.
@NyandaAmosi Very TRUE and namshukuru Mungu nililielewa hili mapema mno. Katika kipindi hicho mimi ndo nilijiweka mbaliii na kila mtu, in the whole week simu pekee nilikua napokea ilikua ni ya mama tu asking how i was doing. Hakuna kipindi kijana anahitaji kua karibu na Mungu km hiki
@Sativa255 Look at that letter. Juu ka copy na ku paste, Taarifa kwa uma haijapigiwa mstari, kichwa cha habari nacho ni kama senstensi hakipo katikati. Barua haina paragraph. Mwandishi hajui wapi aweke koma. Kamanda wa polisi hana jina na hajasign...MAZOEA
@Sativa255 Bila shaka kuna vitu havipo sawa katika vichwa vya Watanzania. Unabebwa kwenye lorry km uchafu ili ukamshangilie mtu aliekuja kwny V8... HAHAHAH. AMA KWEL TUTAKUWEPO๐ซต
@lordmoremi You see the arrogance in that tweet??? The exposure you are talking about or rather expressly bragging about doesn't give you the right to shame anyone out here. Be humble