Askofu Dkt. Alex Malasusa Mkuu wa KKKT amewaasa viongozi wa Dini, vijana na jamii kwa ujumla kuendelea kuombea nchi haki na amani ili kuwezesha watu kutimiza malengo mbalimbali ya kiroho na kimaisha waliyojiwekea.
https://t.co/jyCymWbgoK
Mkuu KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa ametoa rai kwa watayarishaji na waimbaji wa nyimboi kutoa elimu sahihi ya Neno la Mungu na pia kuzingatia vionjo vya Ala za utamaduni wa kiafrika ili kutunza utamaduni na asili ya kiafrika na kurithisha vizazi vijavyo
https://t.co/491vZKL9fH
Baadhi ya matukio katika picha wakati wa Ibada ya kuweka wakfu na kuingizwa kazini kwa viongozi wateule wa KKKT-Dayosisi ya Morogoro.
Ibada hiyo inaongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa katika Usharika wa Kanisa Kuu Bungo, Morogoro.
Katibu Mkuu wa KKKT Rogath Lewis Mollel amesema kuwa KKKT linaendelea kuweka nguvu kwa kushirikiana na dini mbalimbali pamoja na Serikali katika kuhakikisha kuwa ndoa za utotoni zinatokomezwa katika jamii ya watanzania.
https://t.co/HinD9Uwxwi
Picha ya pamoja ya viongozi wa dini mbalimbali mara baada ya uzinduzi wa filamu na muongozi unaopinga na kutoa elimu dhidi ya ndoa za utotoni na athari zake katika jamii.
https://t.co/5CYdM5mmZe
Pichani: Katibu Mkuu KKKT Rogath Lewis Mollel akizungumza jambo wakati wa kumkaribisha Mchg. Godfrey Walalaze (kulia) ambaye ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa Misioni na Uinjilisti KKKT akichukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Mchg, Lazaro Rohho (kushoto).
Katibu Mkuu wa KKKT Bw. Rogath Lewis Mollel atakuwa katika kipindi cha Wake_Up call Upendo Televisheni.
Kipindi kinaanza saa 2 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi.
KKKT yatangaza hatua kubwa na ya kihistoria katika safari yake ya kidijitali, kupitia ushirikiano wa kimapinduzi na kampuni ya Unicx AI, utakaowezesha maboresho makubwa katika mifumo ya mawasiliano, data, na huduma za kanisa.
Habari zaidi bofya link
https://t.co/4VCmbyKRJl