@MarekaMalili "Japo haliendi shule lazima lije kunirukia nimelala" I might be old fashioned ila something is wrong somewhere, chumba cha wazazi ni ikulu uingie kwa invitation, hata zamani ilikuwa huwezi ingia kwa mshua umrukie amelala ni utakula mabanzi and naendeleza the legacy ๐คฃ
@MiriamMkanaka Watu wa bank watanisahihisha hii ila Kuna mtu aliwahi nisanua kuwa wakati unafungua ACC uliandika kipato chako ni tsh ngapi annually kama uliweka ni 1B and above hata iingie 10B benki haishtuki sasa wewe andika kipato chako cha mwaka ni laki 7 halafu iingie mil 8 za urithi uone
@fumbokhanJr@MarekaMalili @mswahili___ @kasesco_tz@DullahTheking2 @TravisKitengo_ @OriginoZee17@kaji_sijo @MijuLee_Tz @Gaspinho15@rasoulHK Unapokea order unaandaa mzigo unatuma, hesabu zako za kibenki hakikisha ziko sawa miezi kadhaa unaingia bank kuchukua mkopo hata mara 3 ya hiyo 100 unazidi kukuza mtaji, unazidi kukuza customer base, unazidi kukua
Baada ya miaka 5 ukijenga mbweni tuseme umeiba hela ๐คฃ
@fumbokhanJr@MarekaMalili @mswahili___ @kasesco_tz@DullahTheking2 @TravisKitengo_ @OriginoZee17@kaji_sijo @MijuLee_Tz @Gaspinho15@rasoulHK Hizo contact 300 ni owners wa gereji za pikipiki kwa Dar ni mtaji namba moja (clients)
Unaandaa list ya vitu vyote vya pikipiki vinavyohitajika unajichimbia zako KKoo ba fremu ambayo ina Kila kitu cha pikipiki wewe kazi yako ni kupokea simu kwa mafundi gereji
@MarekaMalili Kibanda cha kupaka wanawake rangi kucha
Frame 150k per month inategemea upo wapi
Carpet/ kochi/Kistuli kama kishkaji/ kimeza kama kuwekea rangi jumla kama 700K Sema mimi niliweka na ma wallpaper / urembo imezidi but around 1M UKUU WA MUNGU ni mkubwa haijawahi kunilaza njaa