Tunakufungia umeme jua kwa kiwango kinachotakiwa, tunakushauri ununue solar panel watts ngapi na battery Ah ngapi kulingana na watts ya vifaa vyako na muda unaotegemea kuvitumia. Utafurahia ubora wa kazi zetu. 0718353596
@SuphianJuma@SuluhuSamia Niliwahi kumwambia wife," mimi siwapendi wanasiasa ila km unapenda kuwa mwanasiasa sikuzuii, ila siku ukitaka ndoa yetu ivunjike shabikia ccm au vaa nguo yoyote yenye nembo ya ccm.
@kalage_jr Sasa nyumbani kwako jirani akuwekee umeme?! Kivip, sisi tunachoomba upate jirani mwenye mke Mzuri hata ukimkuta sebuleni na mkeo wanapiga story huhoji unapitiliza chumbani๐