Kila mteja ni muhimu kwetu. Tunathamini imani yako na tunaendelea kujitahidi kuhakikisha kila huduma tunayokupa inaendana na ubora unaostahili.
Tunawatakia Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja
Tupo kukuhudumia.
Endelea kufurahia Maji Asilia ya Kuaminika Kila Siku.
#CustomerService
Kwa mara nyingine tena, tumewakaribisha wafanyabiashara wetu kutoka Singida kutembelea kiwanda chetu kilichopo Moshi
Katika ziara hiyo, walipata fursa ya kujionea chanzo chenye madini asilia cha Kilimanjaro Natural Mineral Water, na kushuhudia hatua za uzalishaji wa maji yetu.