@mangekimambi Kuna mwanaharakati moja huku canada alisema kua rais samia kafa.. asaiv kila anachoongea hakina maana tena. Nadhan mnaichukia sana serikali kiasi kwamba meanza kusema mpaka uongo ili kueneza chuki
@LarryMadowo Kwanini huku cover kisahihi story ya Kenya na maandamano yake.. ila Tanzania ndo imekua priority yako. Wakenya mna chuki nyingi sana kwetu. Tuachen tu deal na issues zetu