Sisi wenye tumegrow in a polygamous family hatuoni something new na hiyo series,,personally mtu wangu akikosa kunicheat najuanga tu ni favour ananifanyia😂😂
Hii story naskia ati ukibuyia partner wako viatu kama gift hivo ndio relationship inaanza kutembea ni ukweli? (Treat this as urgent kabla nifanye hiyo mistake!)