@babbiekabae Pollen na majukumu Dada yangu Kabae&hongera Kwa kazi nzuri ya clouds chini ya kipindi cha360,natamani Sikh moja niwe nanyi pamoja na Hassan Ngoma!nina mengi ya kushare nanyie kwenye kipindi km njia ya kumuenzi Ruge& maneno yake ya ndoto na fursa!