Crown media mnawachukulije mashabiki wa Simba na Mashabiki wa mpira Tanzania. Je mlipataje invitation ya kwenda kilwa na kama hamkupewa invitation ni wazi kwamba mnahusika na migogoro inayoendelea kwenye hivi vilabu sana sana Simba.!?
@crownfmtz@Crowntvtz#SimbaSC#simba
CROWN MEDIA. Mnawachukulije Mashabiki wa Simba. Badala ya kujibu maswali mnajitoa.
Je pale mlipo muhojo mangungu ni Kilwa na invitation aliwapa nani.!?
Au Mnahusika na Migogoro ndani ya Simba kwa kuwa sehemu ya propaganda za Mangungu.!?
@CrownMediaTZ#simba#crownfm
Kwamba kwanini uanze kuhangaika kutoa barafu juani wakati swala la muda tuu lita yeyuka lenyewe. Simba wenyewe wanajua hamtakosa cha kusema. ๐๐
Swali linabaki: Huu ni mwanzo wa safari ya ubingwa au ni matumaini yanayoweza kuishia njiani๐ค?
#SimbaSC#YangaSC#NBCPremierLeague
WATABEBA? ๐๐ด
Kila msimu una simulizi lake, lakini kuna kitu kinabadilika kwenye mwenendo wa Simba baada ya michezo 10 ya mwanzo ya NBC Premier League katika misimu hii.
Shukaโฌ๏ธโฌ๏ธ
#SimbaSC#YangaSC#NBCPremierLeague#MugisherTalksSports
Na kama wewe ni shabiki wa Simba, huenda ukapata sababu nyingine ya kuamini kwamba safari bado ina matumaini.Huku mkiwa mshacheza michezo dhidi ya Azam na Yanga๐ฅ
Kwa upande wa Wananchi na timu nyingine, mnaweza kuanza na zile kejeli zenu๐๐๐,
>>>>>
Wachezaji waliowahi kuchezea Simba na baadaye wakasajiliwa na Yanga chini ya uongozi wa Eng.Hersi.
Swali walifeli au walifaulu ndani ya Yanga tuandikie kwenye comment hapo chini.
#yanga#yangasc#simbasc#simba#Mugishertalkssports
@gabyconscious Uzuri hawatembeagi na Angle, Contrast, filters na wakiwa wanatembea hawa chezi na simu๐๐๐ ila hata ivo kuna namna mtu anakua mzuri na mbaya at same time