@iamcleopatricia I wanna spend my time with you like never before, looking into your beautiful eyes ๐, Telling you how much am grateful having you in my life, how much i appreciate your presence today. So, please let's begin a new chapter of our relationshi. I love you and You know that ๐
Mabinti wengi wa siku hizi.
Kupika ni mateso.
Kufua ni mateso.
Kujifungua ni mateso.
Kumuheshimu mwanaume ni mateso.
Kumsapoti mwanaume ni mateso.
Kwao kila kitu ni mateso.
Akilini mwao wengi wanaamini wataolewa na wanaume matajiri.
Ila tuwaambie, tutakuwepo..
@chapo255 Inatokeaga unakua na demu ambae hafai kuwa mke kwa factors; ulevi, au umalaya ila unabaki nae tu ukiendelea kutazamia mtu sahihi. Penzini watu wana mengi wanayohifadhi ila kuna namna inafka stage unashindwa na anaemalza ndo anaonekana tatzo machoni mwa wengi