Hatari kubwa kwa taifa hujitokeza pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapoonekana kutumiwa zaidi kulinda maslahi ya kisiasa ya watawala kuliko maslahi mapana ya taifa. Ikiwa maamuzi yanalenga kuhifadhi vyeo, madaraka na mali za wachache badala ya kulinda Katiba, sheria na usalama wa wananchi wote, imani ya umma kwa taasisi za dola hupotea.
Vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kubaki na utii kwa Katiba, sheria na maslahi ya taifa, si kwa mtu, chama au kundi la kisiasa. Taifa hujengwa kwa taasisi imara zinazowatumikia wananchi wote kwa usawa, si kwa matumizi ya mamlaka kwa manufaa ya walio madarakani.
Nikiona mtu anapush ndinga Kali la kifahari bata nyingi kuvimba kwingi huwa namuheshimu sana mtaa ulimdai mafanikio na kafanikiwa Vita yake haikuwa ya kitoto.
Jamaa kaenda kwa mganga kutafuta mali , mganga akamjibu usijali hapa mali umepata ila kwa sherti Moja tu .Nenda Nyumbani Tena chumba kimoja Cha Siri nyunyiza hii dawa huku ukienda kinyumenyume . Alaf lala kwenye hicho chumba mpaka asubuhi . Utaamka utakuta pesa nyingi sana Ila 👇
Kuja jamaa nilimkopeshaga 100k akanitapeli hakuwahi nirejeshea ile hela…Juzi kati aliniadd kwenye group la mchango wa Harusi yake nikaweka ahadi 100k leo amenipigia simu kunikumbusha nikamwambia akate pale kwenye deni..Anatangaza eti nina Roho mbaya.😂💔🙌🏼
Sema hii ya mtu kusema eti mi sipokeagi namba ngeni kwa upande wangu naonaga ni kama ushamba
Vipi kama mtu wako wa karibu kapata matatizo ndo unatafutwa uwe msaada wake likitokea jambo baya Utajisikiaje..? 🤔
Moja ya kilema cha kutisha cha mdomo ni kushindwa kumwambia mtu ukweli, Kwa hofu ya kumuudhi au kumpoteza.
Huo ni UDHAIFU, kilicho bora kwako hakiwezi kuondoka kisa ukweli.
Good morning hustlers 🙏🏾