@HildaNewton21 Kuna watu wanaroho mbaya sana,yaani kumuuwa mwanadamu mwenzake ni kama anauwa kunguni.Majitu ya namna hii hayana hata hofu ya Mungu hata kidogo.Yanaamini kinga yao ni mwanadamu nasiyo Mungu.
@Lastborn_EL@MariaSTsehai@NamdiAzikiwe Toa hiyo picha uliyoweka kwenye Akaunt yako ya X huyo jamaa huendani naye hata kidogo,ni sawa na Aridhi na Mbingu.