@FKihamu Farhan uyu jamaa ni mkubwa kama nyumba mara ya kwanza namuona pale Arusha usa river uwanja wa muungano secondary alikuja kucheki kituo kmoja cha watoto yatima na academy moja ya mpira, sikuamini kigimbi chake cha mguu ni kama viazi vitamu vikubwa vitatu