@IssaShivji Kimya kina sababu
Kimya kina adabu
Ya kimya utastajabu
Ya kimya ustarabu
Kimya kingi kina mshindo mkuu
Kimya kingi yajao makuu
Kimya sifikiri unyonge
Kimya tafakari uongee
Shetani pamoja na wafuasi wake ( Binadamu, mapepo wachafu ), wakikushindwa mwanzoni mwa mwaka watakusubiria katikati ya mwaka na hapo pia wakikukosa basi mwishoni mwa mwaka watakuja. Usiache kusali kila dakika kila hatua maana vita ni kubwa.