Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Asubuhi njema mahali popote ulipo. Ni wakati wa kukamilisha wiki kwa baraka kwenye show bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4@radio_ashe , Unatune in ukiwa wapi?
#Mjadala
Kaparo(Laikipia) Mimi kama mzazi naunga mkono pendekezo la kurejesha adhabu ya kiboko shuleni kwasababu ukweli ni kuwa kiwango cha nidhamu kimeshuka
@EmmanuelMatano4@radio_ashe#AsheBreakfast
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Kumekucha na leo ni siku njema ambayo Mungu ameifanya. Tayari @EmmanuelMatano4 nishawasili mjengoni @radio_ashe kukuandalia show bab'kubwa #AsheBreakfast, Unaipokea ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Heri ya Siku ya Madaraka!
Leo tunaadhimisha hatua muhimu katika historia ya taifa letu, tukikumbuka juhudi, umoja na uzalendo uliotuletea uhuru wa kujitawala.
Radio Ashe
Mungu Ibariki Kenya.
#MadarakaDay2026#RadioAshe#Kenya#UmojaNaMaendeleo
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! U hali gami? Safari ya #AsheBreakfast imeng'oa nanga na kwenye usukani ni nahodha wako @EmmanuelMatano4@radio_ashe , unacheck in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#Mjadala
Mama Esther(EMC) Kuna watu ambao wako na loose tongue na cha kusikitisha ni kuwa watu wanaeneza matamshi ya chuki na hawachukuliwi hatua za kisheria
@EmmanuelMatano4@radio_ashe#AsheBreakfast
#Mjadala
Lesaana(Samburu) Ukiangalia hata vita vya wafugaji vya wizi wa mifugo, utakuta kuna uchochezi kutoka kwa wanasiasa. Wananchi tuerevuke na tusikubali kutumiwa na wanasiasa kwasababu sisi ndio tunaoathirika
@EmmanuelMatano4@radio_ashe#AsheBreakfast@NCIC_Kenya
Jumla ya mataifa 11 kutoka upembe wa Afrika na Afrika Mashariki yamekongamana jiji Addis Ababa nchini Ethiopia kwenye kongamano la 73 la Ghacof. Kwenye kongamano hilo, wadau wanatathmini matukio ya msimu wa Masika . Mwandishi wetu @EmmanuelMatano4@IGAD_CPAC#GHACOF73
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Happy New Week! Natumai wikendi yako ilikuwa shwari, Karibu tuanze wiki hii kwa mpigo kwenye show bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4@radio_ashe , Unatune in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10