#Repost tu 🙏🙏🙏
Uzuri ni kwamba Noah X kama hii yenye mtungi wa kg 15
➡️ Utatembea 160+ Km
➡️ AC on wakati wote
➡️ Utapata 6 Month free of charge warranty
➡️Utajaza gesi kwa 24000/= ikiisha
➡️Siku moja tu tunafunga mfumo
➡️Yote haya utapata kwa 2.1M tu.
Usitishwe na numbers yanaongeleka hapa
0687627393
❤️ 2 Timotheo 4:7-8
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda; baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana mhukumu mwenye haki atanipa siku ile.
2 Timothy 4:7-8
I have competed well; I have finished the race; I have kept the faith. From now on a crown of righteousness awaits me, which the Lord, the just judge, will award to me on that day.
🙏🏽
We strongly condemn statements made by the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr. Albert Chalamila, while addressing a gathering in Temeke on issues related to reproductive health. In a video, Mr. Chalamila is quoted uttering controversial responses to a lady who complained to him about challenges of reproductive healthcare which is free of charge.
This is not the first time Mr. Chalamila has made such remarks against women dignity in public.
We call upon and urge the President of the United Republic of Tanzania to take disciplinary action against Mr. Chalamila.
Tumesikitishwa na kufadhaishwa na kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndugu Albert Chalamila, wakati akihutubia mkutano wa wananchi wilayani Temeke hivi karibuni. Katika mkutano huo, ndugu Chalamila alinukuliwa akitamka maneno yasiyo na staha akimjibu mwanamke aliyelalamika kuhusu huduma dhaifu za afya ya uzazi ambazo ni bure.
Sio mara ya kwanza kwa ndugu Chalamila kutoa kauli za kutweza na kufedhehesha utu wa mwanamke.
Tunatoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya ndugu Chalamila.
@mshambuliaji Kwenye suala kama hili Mheshimiwa @Dr_DGwajima sio la kufumbia macho aisee. Hapa kuna kundi limetwezwa utu, huyu achukuliwe hatua. Kuna muda viongozi mtathmini lugha za kufikisha ujumbe kwa wapiga kura wenu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾