Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
Huyu ndie mwanaharakati wa muda wote humu ndani,Hakuchagua kuficha sura yake Kama alivyofanya kigogo Wala hakuchagua kukimbia nchi amepambana kusema kweli hata nyakati zile za GIZA,
Tumpe retweet 1000