@assengajrr Mmmh, kumbuka 70% ya hela yote inaenda kwa feeding. Kutumia hizo hesabu zako huoni kama kila mtanzania angefuga layers, ungesema operation cost ni 60m then faida 20m then maybe. Unless chakula unatengeneza mwenyewe from starter to finisher. Otherwise sio sahihi kabisa. IMO
@Woppins@archaeo20 Sawa kaka, kama ndo unaamini hivyo kwamba mmetuacha mbali baasi, hii sio ya kubishana but only time will tell. Wote ni majirani... Good talk 🤝🏿
@Woppins@archaeo20 Hehe, sasa jiulize kwa sasa mnazidi kuwa mbali na sisi au we are actually catching up to you. Tatizo mnamawazo ya kutuona kama hatufanyi kitu kwasababu tupo kimya ila hapana. You people are loud in everything na kwa sisi shading blood ni hatua ya mwisho kabisa.
@Pixxelbuzz@Woppins@archaeo20 Sahihi kabisa, the same way nikasema sisi watanzania tuliona a glimpse of what good leadership can do to a country in a span of just 5 yrs through Magufuli. Tatizo letu wote ni corruptions za juu na uzembe haswa kwa sisi watanzania.
@Woppins@archaeo20 Ati we have "no excuses" same goes to kenya and all other EA countries. DRC has a bigger GDP kuliko sisi sawa, sasa jiulize kati ya mtanzania na mcongo nani anamaisha bora kuliko mwenzie. Same goes to Kenya, mpo na akili sana ila kwanini kila siku mpo na migogoro nchini mwenu...
@rjfrank02@Woppins@archaeo20 Naamini unamaanisha independence. Ndio sisi tulianza, approach yetu ya ujamaa ilitufanya tu sacrifice maendeleo ya kiuchumi through capitalist kwasababu tulitegemea tukiwa pamoja tutafika mbali ila la. Kenya has always been far from the beginning, ila kwa sasa vitu vinabadilika..
@porschesv8@archaeo20 Mnapenda ku insist kitu ambacho hakipo kwa sasa ili ujumbe wako uonekane wa maana. Inaonekana nyie ndo mnaumia sana kuliko hata sisi.
@Woppins@archaeo20 Kutangulia sio kufika kaka, you started by sprinting while we were crawling. Miaka 30 ijayo tutajua nani anahali zuri nchini mwake. Mnaisi haya ni mashindano tatizo lenu. Tumesha ona what good leadership can do to a country with resources kama alivyo tuonesha our late president.