#Neno....UMEUMBWA KWA NJIA YA AJABU! Zaburi 139:14,15...Mungu alikuumba kwa njia ya ajabu na kipekee, hakukulinganisha na wengine, mbona ujilinganishe. Tazama kazi ya Mungu katika maisha yako na uitambue, ushukuru, na ujipende vile ulivyo. Wewe sio duplicate, uliumbwa kwa mfano wa Mungu. Tukutane Galilaya!
@Milele_FM@Luchivya @wilbrodanyamin Good morning Luchivya na wilbroda nawapata loud and clear nikiwa mukuru Kwa Reuben, Naamsha faith, Moses kikofia na my wife wilkister mayabi akiwa Busia,#LuchivyaNaWilbrodaMilele
Neno lake na sheria zake zikuongoze ili uweze kufanikiwa na kustawi popote uendapo, kuwa imara na hodari, usiwe mtu wa kutishwa na kila kitu, valia ujasiri na ukakamavu. Mungu akusaidie katika hii safari, Tukutane Galilaya! @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele
Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.” Mungu hataki ukae kwa uoga wala kufadhaika sababu kuna watu wengi walio nyuma yako wanakufuata, ukibabaika wataumia. @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele
Welcome to this new week, good morning 🌅. May this week be full of peace, divine provision and protection. God has already gone ahead of you! Subscribe to Mama Taifa Evah Mwalili You Tube Channel! @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele#BarakaZaMilele
Mwana Ligi usikae kwa uoga wala kutembea ukiogopa, adui asikutishe, walio upande wako ni wengi, watakujaribu lakini hawatakuweza, kaa upande wa Mungu, utashinda! Tukutane Galilaya! @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele
#NenoLaLeo...HAUKO PEKEE, WALIO UPANDE WAKO NI WENGI! 2 Wafalme 6:15-17
Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”