✍Fiorentino Perez aliona Kumtoa Ronaldo Barcelona Na kumleta Madrid moja kwa moja Ingekua ngumu ,Hivyo hakua na haraka Akawasubili tu Inter millan Wakamchuka ronaldo Alafu yeye akaenda kumchua kutoka kwa Inter✍
-Mambo kama haya ndo hulifanya soka kuwa mchezo Pendwa sana🤔
Hawa jamaa wote wawili walitoka moja kwa moja PSL mpaka Europe
-Siyabonga 🇿🇦 alitoka Kaizer Chiefs to FCSB (Hawa jamaa walicheza juzi na Mau U Europa League)
-Munetsi🇿🇼 alitoka Orlando to Reims and now Wolves 🙌
#AfricanFootball#psl2025
USHINDANI ULIOPO KWENYE LIGI YA KENYA UMEUZIDI USHINDANI ULIOPO KWENYE LIGI YETU🤔
Mtangazaji wetu (@morisitz_ ) amepiga stori na Mchambuzi wa Soka nchini Geoffrey Lea (@geoff_lea ) ambaye yeye anasema kuwa Ligi kuu ya Tanzania bado haina kama watu