@BillyTronix1 Hawa kipindi cha pili kinawapalia , wameshaanza kuingia upepo , vurugu zimeshakuwa nyingi sana kwa wapinzani. Wafaransa wakipata mtu anayepiga mashoti kwa ufanisi nje ya box pamoja na kuforce dribbling za kutosha kwenye box , 90 mins watu tunakwenda kupumzika mapema tu.
@vistovic17@George_Ambangil@professorIV01 Suarez kwa msimu huo alikuwa na direct involvement (G/a) kubwa kuliko wote , Bale alikuwa na mchango mkubwa kwenye timu yake hasa ufungaji wa magoli ya maamuzi( Match winning impact). ( Ufungaji na sio pasi za usaidizi) , vitu ambavyo sivioni kwa "Better than ΓΈ" π
@George_Ambangil Binafsi kocha wetu naanza kupata mashaka nae kwenye man management. Huwezi kuwa na kikosi kikubwa vile halafu kila siku unakumbatia watu wale wale hata wakiwa hawana siku nzuri kazini.Timber alipaswa kupumzika toka dakika ya 70 huko maana alikuwa hana productivity yoyote kiwanjn
@mzee_mbuzi Bila kubadilisha aina ya uchezaji , ubingwa anaondoka nao Unai ukitokea mikononi mwetu hivi hivi tukiwa tunamuona. Tunacheza very safe yaani , basi nyingi za nyuma. Magoli yatakuwa magumu sana kwetu maana timu zote sasa hivi zitakuwa zinakaa nyuma tu .
@rayasel94 Kwani hakuna Match reviews kwa wachezaji kama alivyofanyiwa Mbappe na kocha wake kipindi yuko PSG ili arteta apate nafasi ya kumuonyesha Ode alichokifanya na alichotakiwa kukifanya ili mambo yaende vizuri next time?!
@SamuelOfArsenal Just A small piece of the observation, Merino came in for the make shift striker role how many goals did he manage to score?, not to compare with chances Kai manage to score and miss. He might be the missing piece for that team to grab titles.