Manchester katika msimu wa 2023
โ Ligi Kuu๐
โ Ligi ya Mabingwa ๐
โ FA Cup ๐
โ UEFA Super Cup ๐
โ Klabu Bingwa ya Dunia ๐
Je' huu ndio msimu bora wa Manchester City kuwahi kutokoa.....?๐ค
Kauli ya Mwenyekiti wa tawi:
"Hii ni zaidi ya heshima kwangu, Najivunia kuwa sehemu ya timu hii pamoja na Viongozi wenzangu, @AngelJohs3 ,Cosmasi, @NgomeniErnest, Alfredy na Jonathan * Lakini pia shukrani za dhati kwa kila *Cityzen* aliyefanikisha mchakato huu kuanzia mwezi
Hayawi hayawi mwishowe yamekuwa. Kesho ndo uzinduzi wa Tawi rasmi la Manchester City hapa Tanzania.
Retweet hapa kama kesho utakuwepo pale viwanja vya DDC.
Kwa maelezo zaidi tuma ujumbe WhatsApp kwenda namba hiyo hapo kwenye bango
Manchester haina Channel
Manchester City haina Channel
Chelsea Haina Channel
Mamelod Haina Channel
Al Ahly Haina Channel
Simba Sport Club, Barcelona na Real Madrid ndio team pekee Zenye Channel, Simba World wide...๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kuna event kubwa inakwenda kufanyika mwezi ujao Dec, ambapo mashabiki wote wa Man City wanaoishi Dar es Salaam watakutana kiwanja kimoja kula, kunywa na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya mashabiki wa Man United.
Kama wewe ni Citizen Retweet hapa na tuma WhatsApp number yako DM