Kuna baadhi ya watu wanaamini TCL ambazo zinakuwa Assembled Tanzania hazina ubora mkubwa 😂.
Angalizo ni kwamba ukiagiza TV nje hasa hizi ambazo Wana service center zao TZ kama TCL, Hisense n.k. shida ni kwamba ikitokea changamoto yoyote service center ya kampuni husika hawatoipokea.
Alafu pia gharama za kuagiza TV nje ni kubwa sana kuliko utakayonunua hapa nchini ndo maana wakaweka godowns zao hapa ili kuminimize costs.!!
NBCUniversal is now exploring a bid to buy Warner Bros
They have hired bankers to evaluate an offer & access to Warner Bros financials has been given.
(Source: https://t.co/wWgugFJGrq)